Hivi karibuni
Duka la Mtandaoni
Uza mtandaoni kwa malipo ya M-Pesa, ukiwa umeunganishwa na stoo ya duka lako.
Unapendelea kuandika? Tutumie ujumbeMaswali kuhusu Duka la Mtandaoni
Itazinduliwa lini?
Tutakuambia mara tu itakapokuwa tayari. Bonyeza "Nijulishe" nasi tutakutumia ujumbe kwenye WhatsApp.
Je, naweza kuwaeleza biashara yangu inahitaji nini?
Ndiyo, tafadhali tueleze. Unachotueleza hutusaidia kuamua tutengeneze nini kwanza.
Mifumo mingine ya Tessera
Ongea nasi kwenye WhatsApp
Weka miadi ya demo, omba nukuu ya bei au pata msaada. Tutumie picha ya jinsi unavyorekodi mauzo na stoo leo, kwenye kitabu au Excel, nasi tutakuonyesha jinsi Tessera inavyoweza kusaidia.