Ruka hadi maudhui
Tessera Tech

Hivi karibuni

Tessera kwa Hoteli na migahawa

Tunajenga mfumo kwa hoteli na migahawa unaounganisha huduma kwa wateja, jikoni na bili.

Changamoto

Kinachokwamisha leo

  • Oda zinaandikwa kwenye karatasi na zinapotea kati ya meza na jikoni.
  • Bili zinajumlishwa kwa mkono mwisho wa mlo.
  • Gharama za vyumba na za mgahawa zinawekwa sehemu tofauti.

Tunachojenga

Tueleze jinsi biashara yako inavyofanya kazi leo. Unachotuambia kinatusaidia kuamua tujenge nini kwanza, na tutakutumia ujumbe mfumo ukiwa tayari.

Ongea nasi kwenye WhatsApp

Weka miadi ya demo, omba nukuu ya bei au pata msaada. Tutumie picha ya jinsi unavyorekodi mauzo na stoo leo, kwenye kitabu au Excel, nasi tutakuonyesha jinsi Tessera inavyoweza kusaidia.

Piga simu WhatsApp Demo