Ruka hadi maudhui
Tessera Tech

Hivi karibuni

Tessera kwa Maabara

Tunajenga AfriTox LIMS kwa AfriTox Mobile Lab, maabara inayohamishika inayopima metali nzito na sumu za mazingira. Maabara nyingine zenye utaratibu wa kazi unaofanana zinaweza kuzungumza nasi kuhusu mfumo huu.

Changamoto

Kinachokwamisha leo

  • Sampuli, matokeo na ripoti vinafuatiliwa kwenye karatasi na spreadsheet.
  • Wateja wanapiga simu kuuliza matokeo yao yamefika wapi.
  • Matokeo yanahitaji rekodi wazi ya nani aliyeyakagua, na lini.

Ongea nasi kwenye WhatsApp

Weka miadi ya demo, omba nukuu ya bei au pata msaada. Tutumie picha ya jinsi unavyorekodi mauzo na stoo leo, kwenye kitabu au Excel, nasi tutakuonyesha jinsi Tessera inavyoweza kusaidia.

Piga simu WhatsApp Demo